728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 23, 2016

  WAZIRI MBARAWA NA SIKUKUU YA 46 YA SULTAN OMAN

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (wa tatu kushoto), pamoja na viongozi wengine wakikata keki kuashiria mahusiano mema baina ya nchi hizo mbili katika sherehe za miaka 46 ya Usultani wa Oman, iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
  sult5
  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akimpongeza mshindi wa tiketi ya kwenda Oman aliyoshinda katika sherehe za miaka 46 ya Usultani wa Oman, iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
  sult6
  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza na wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za miaka 46 ya Usultani wa Oman, iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
  sult1
  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akisalimiana na Naibu Balozi wa Ufalme wa Oman, Mohammed Al Rawahi, kwenye sherehe za miaka 46 ya Usultani wa Oman, iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
  sult2
  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiteta jambo na Naibu Balozi wa Ufalme wa Oman Mohammed Al Rawahi kwenye sherehe za miaka 46 ya Usultani wa Oman, ilyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
  sult3
  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza na viongozi na wadau mbalimbali waliohudhuria kwenye sherehe za miaka 46 ya Usultani wa Oman, iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MBARAWA NA SIKUKUU YA 46 YA SULTAN OMAN Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top