728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, November 27, 2016

  WAZIRI MBARAWA AONGOZA UJUMBE WA SERIKALI YA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA USAFIRISHAJI DUNIANI,NCHINI TURKMENISTAN


  Mkutano huuo ukiendelea

  Mhe.Makame Mbarawa waziri wa Ujenzi uchukuzi na mawasiliano akiongoza ujumbe wa serikali ya Tanzania kwenye mkutano wa Usafirishaji Duniani unaofanyika jijini Ashgabat nchini Turkmenistan, mkutano huo wa kimataifa umefunguliwa leo na katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban ki moon. Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Makame Mbarawa akiongea na Waziri wa Uchukuzi wa Nchini Urusi Maksin Sokolov masuala muhimu yanayohusu sekta ya usafitishaji katika nchi zao.
  Waziri Mbarawa anahudhuria mkutano wa kimataifa wa usafirishaji Duniani unaofanyika jijini Ashgabat nchini Turkmenistan.

  Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Makame Mbarawa akiongea na Waziri wa Usafirishaji wa Oman Ahmed Mohamed Salim Al- Futaisi masuala muhimu yanayohusu sekta ya usafirishaji katika nchi zao. Waziri Mbarawa anahudhuria mkutano wa kimataifa wa usafirishaji Duniani unaofanyika jijini Ashgabat nchini Turkmenistan.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MBARAWA AONGOZA UJUMBE WA SERIKALI YA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA USAFIRISHAJI DUNIANI,NCHINI TURKMENISTAN Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top