728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 23, 2016

  WAZIRI MBARAWA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI WA NCHINI MISRI

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Misri, Dkt. Mohamed Abdel Aty  (mwenye tai nyekundu), alimpomtembelea ofisini kwake kuona fursa mbalimbali za uwekezaji, jijini Dar es Salaam.
  prom2
  Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Misri, Dkt. Mohamed Abdel Aty (kushoto), akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, picha za miradi ambayo Serikali ya Misri inaifadhili nchini Tanzania, alipomtembelea ofisini kwake kuona fursa mbalimbali za uwekezaji.
  prom4
  Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Misri, Dkt. Mohamed Abdel Aty, akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MBARAWA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI WA NCHINI MISRI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top