728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 16, 2016

  WAZIRI MBARAWA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NA UJUMBE KUTOKA UBELGIJI

  Balozi wa Uturuki nchini, Bi Yasemin Eralp, akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam.
  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akizungumza na Balozi wa Ujerumani nchini Bi Yasemin Eralp (katikati), alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam.
  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akiongea na ujumbe kutoka Ubelgiji kuhusu fursa za uwekezaji katika sekta ya miundombinu leo jijini Dar es salaam.
  Mkurugenzi Msaidizi wa Tathmini na Ufuatiliaji kutoka Sekta ya Uchukuzi, Aunyisa Meena, akifafanua jambo kwa Ujumbe wa Ubelgiji kuhusu fursa za uwekezaji katika sekta ya miundombinu.
  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akisisitiza jambo kwa Ujumbe wa Ubelgiji na watendaji wa Wizara yake kuhusu fursa za uwekezaji katika sekta ya miundombinu.Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MBARAWA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NA UJUMBE KUTOKA UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top