728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, November 28, 2016

  WAZIRI MAKAMBA ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MBUNGE WA DIMANI (CCM) MAREHEMU HAFIDH ALI TAHIR HUKO ZANZIBAR.

   Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwapa pole  wanafamilia wa Marehemu Hafidh Ali Tahir aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Dimani (CCM) alipowatembelea nyumbani kwa Mbunge huyo huko Maungani kisiwani Zanzibar. Aliyekaa wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Magharibi Mh. Ayoub Muhammed Mahamoud.
   Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano Mazingira Mh. January Makamba akiwa pamoja na mjane wa Marehemu Hafidh Ali Tahir aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Dimani Zanzibar(CCM)  Bi. Shekha Said alipoenda kuwapa pole wanafamilia huko nyumbani kwa Marehemu Maungani Kisiwani Zanzibar. Mheshimiwa Waziri hakuwepo Nchini wakati msiba wa Mbunge huyo unatokea.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwapa pole  wanafamilia wa Marehemu Hafidh Ali Tahir aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Dimani(CCM)  alipowatembelea nyumbani kwa Mbunge huyo huko  Maungani Zanzibar. aliyekaa kushoto ni  ni baba mlezi wa Marehemu Mzee  Kombo M. Kombo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MAKAMBA ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MBUNGE WA DIMANI (CCM) MAREHEMU HAFIDH ALI TAHIR HUKO ZANZIBAR. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top