728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 23, 2016

  WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEWA NA BALOZI WA KOREA NCHINI.


  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akimsikiliza kwa umakini Balozi wa Korea Nchini Tanzania Bw. Chung IL alipomtembelea Waziri Ofsini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu mazingira.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Korea Nchini Chung IL (wa pili kushoto) Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Wengine ni Afisa kutoka Ubalozi wa Korea, Afisa toka Wizara ya Mambo ya nje na wa mwisho kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEWA NA BALOZI WA KOREA NCHINI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top