728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 16, 2016

  Waziri Mahiga azungumza na Wadau wa Maendeleo kutoka nchi za Nordic na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Tanzania.

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akifafanua jambo kwenye Mkutano na Wadau wa Maendeleo kutoka nchi za Nordic uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Nchi za Nordic zinatoa mchango mkubwa katika shughuli mbalimbali za maendeleo nchini ikiwemo kilimo na miradi ya maji. Nordic inaundwa na Nchi tano ambazo ni Norway, Finland, Iceland,Sweden na Denmark. 
  Mkutano ukiendelea 
  Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Bw.Alvaro Rodrigues akizungumza wakati wa mkutano 
  Mwakilishi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Norway Bi. Sive Cathrine Moe akizigumza wakati wa mkutano 
  Baadhi ya Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje wakifuatilia Mkutano. 
  Mhe. Waziri Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Waziri Mahiga azungumza na Wadau wa Maendeleo kutoka nchi za Nordic na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Tanzania. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top