728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, November 18, 2016

  WAZIRI MAHIGA ASAINI MKATABA NA SERIKALI YA CHINA

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Mhe. Dkt. Lu Youqing wakisaini Mkatababa wa makubaliano ya uwekwaji wa thamani katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Tukio hili limefanyika mapema leo Wizarani Jijini Dar es Salaam 
  Mazungumzo yakiendelea kabla ya kusaini mkataba 
  Mhe. Waziri Mahiga akifafanua jambo kwa Balozi wa China nchini Tanzania Balozi Dkt. Youqing walipokutana Wizarani Jijini Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MAHIGA ASAINI MKATABA NA SERIKALI YA CHINA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top