728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, November 28, 2016

  WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA

   Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akibadilishana mawasiliano na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo.
   Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (wa kwanza kulia) akifurahia jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipomtembelea ofisini kwake leo.
  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (wa kwanza kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top