728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 9, 2016

  WATEJA WA STARTIMES KUPATA MATANGAZO BURE YA VIFURUSHI KWA WIKI MOJA
  Meneja Masoko wa Startimes Tanzania Felix Awino.
  Meneja maudhui wa Startimes Tanzania Paulina Kimweri

  ...........

  Na Chalila Kibuda wa Blogu ya Jamii.

  Kampuni ya StarTimes imezindua huduma kwa wateja wa king'amuzi kuangalia bure vipindi vyote ikiwa ni kuwafurahisha wateja wanatumia ving'amuzi hivyo.

  Akizungumzo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Meneja Masoko wa StarTimes, Felix Awino amesema kuwa huduma hiyo itaanza Novemba 12 hadi 20 mwaka huu.Amesema channel zimeongezeka hivyo ni muda mwafaka wa kufurahia huduma za kampuni hiyo.

  Amesema wateja ambao hawajawahi kulipia watapata mtangazo yote bure na baada ya hapo wanaweza kulipia kwa vifurushi wanavyovipenda.

  Aidha amesema wateja wote waendelee kutumia ving'amuzi kutokana na maboresho ili wateja wapate huduma bora.
  Nae Afisa Maudhui wa StarTimes, Paulina Kimweri amesema kuwa StarTimes inatoa huduma bora ikiwa ni pamoja kuwa tamthilia ambazo hazijaonekana katika ving'amuzi vingine
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WATEJA WA STARTIMES KUPATA MATANGAZO BURE YA VIFURUSHI KWA WIKI MOJA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top