728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 15, 2016

  WANANCHI WATAKIWA KUZINGATIA UJENZI WA CHOO BORA

  Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Prof Ayoub Magimba, akizungumza na wadau mbalimbali wa afya juu ya Ujenzi wa vyoo bora,katika mkutano wa kujadili suala la hedhi salama, leo jijini Dar es Salaam.Prof.Ayoub alisema kuwa hauna budi kuzingatia mahitaji muhimu ya mtoto wa kike hasa anapokuwa kwenye hedhi kutokana na takataka zinazotokana na hedhi ni taka hatarishi,hivyo ni vyema zikadhibitiwa vilivyo.
  Wadau mbalimbali wa afya wakiwa katika mkutano huo leo jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WANANCHI WATAKIWA KUZINGATIA UJENZI WA CHOO BORA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top