728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, November 20, 2016

  WANANCHI WA MBAGALA-KIBURUGWA WAJADILI MAAGIZO YA RPC MUROTO KUHUSU ULINZI NA USALAMA

  Kijana wa Mtaa wa Mbagala-Kiburugwa, Wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, akizungumza kwenye mkutano wa wakazi wa mtaa huo kujadili maagizo ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, (SACP), Gilles Muroto kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama kwenye ngazi ya Mtaa. Mkutano huo umefanyika Novemba 20, 2016

  Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Ulinzi na Usalama ya Mtaa wa Mbagala-Kiburugwa, Bw.Kassim Mohammed Mnyoge, akizungumzia maagizo hayo
  Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mbagala-Kiburugwa, wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mtaa huo, Bw.Said Mwinshehe Mng'agi, (kulia), akiwa na Kaimu Afisa Mtendaji wa Kata ya Kiburugwa, Bw.Salehe Kaitani, akifafanua baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wananchi
   Mwananchi akiuliza swali kuhusu utaratibu wa kiulinzi kwa kushirikiana na wajumbe wa mtaa. Kwa habari kamili na picha BOFYA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WANANCHI WA MBAGALA-KIBURUGWA WAJADILI MAAGIZO YA RPC MUROTO KUHUSU ULINZI NA USALAMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top