728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 22, 2016

  WAHUSIKA ENEO HILI NI HATARI KWA VYOMBO VYA MOTO,CHUKUENI HATUA MAPEMA

  Baadhi ya vyombo vya moto kama vionekavyo pichani vikipita pembeni ya tuta lenye shimo kubwa njia panda barabara ya Sayansi/Kijitonyama,tuta hilo ambalo limechukua nusu nzima ya barabara,na kuachwa kama lilivyo bila kuondolewa ikiwa yapata miezi miwili na ushehe hivi mpaka sasa.Tuta hilo likiendelea kuachwa hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kusababisha ajali wakati wowote,ni vyema wahusika wakachukua hatua mapema ya kuliondoa ili kuifanya barabara hiyo ipitike kwa urahisi na usalama zaidi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAHUSIKA ENEO HILI NI HATARI KWA VYOMBO VYA MOTO,CHUKUENI HATUA MAPEMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top