728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, November 27, 2016

  Wadau watoa Maoni yao Kuhusu Sera Mpya ya Ardhi ya Mwaka 2016  Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi Dkt Yamungu Kayandabila Akiwahakikishia wadau kwamba Maoni yao yatafanyiwa kazi.Dkt kayandabila ameyasema hayo wakati wa zoezi la kukusanya maoni kutoka kwa Wadau Ukumbi wa VETA Mkoani Morogoro.
  Dkt. Ringo Tenga wa Chuo Kikuu Dar es salaam akishiriki kutoa maoni kuhusu marekebisho ya Sera mpya ya Ardhi ya Mwaka 2016 Ukumbi wa VETA Mkoani Morogoro.

  “Pamoja na kuwaalika wawekezaji Tulinde maeneo ambayo ni Vyanzo vya chakula” hayo ni baadhi ya Maoni ya Dr Ringo Tenga kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam aliyo wasilisha wakati wa zoezi la kukusanya maoni ya wadau kuhusu Sera Mpya ya ardhi ya mwaka 2016 katika ukumbi wa VETA Mkoani Morogoro.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Wadau watoa Maoni yao Kuhusu Sera Mpya ya Ardhi ya Mwaka 2016 Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top