728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 23, 2016

  VIJANA WAJASILIAMALI WACHANGAMKIA FURSA KUTENGENEZA SHANGA


  Vijana wajasiliamali wakiwa katika mafunzo ya kutengeneza urembo wa Shanga baada ya kupata somo kutoka kwa Mkufunzi Peninnah katika mafunzo hayo Biashara kwa Vijana kuelekea Soko la AFrika Mashariki yanayoendelea kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Picha na Mafoto Blog
  Vijana wakichangamkia bidhaa kuanza kutengeza Shanga
  Vijana wajasiliamali wakirefresh kwa kucheza mchezo wa kujichangamsha..........
  Mkufynzi akitoa maelekezo ya mchezo huo....
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: VIJANA WAJASILIAMALI WACHANGAMKIA FURSA KUTENGENEZA SHANGA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top