728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, November 21, 2016

  UJUMBE WA KIBIASHARA KUTOKA UHOLANZI WAWASILI ZANZIBAR

   Ujumbe wa kibiashara kutoka Uholanzi wakiangalia namna ya Usafishaji wa Karafuu katika Ghala lililokuwepo kwa abasi useni Mjini Zanizbar.
   Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi ukitembelea katika Ghala la Karafuu lililokuwepo malindi Zanzibar na kujionea uchambuaji wa karafuu na mashine za Usafishaji.
  Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi wakiangalia mashine maalum ya kusafishia karafuu katika Ghala la Malindi mjini Zanzibar.  

   Mkurugenzi masoko katika shirika la ZSTC Salum Abdalla akizungumza na Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi ambao umewasili Zanzibar kwa Ziara ya Siku Tatu hapo ofisni kwake Maisara Zanzibar.
   Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi Ukiwa katika Picha ya pamoja baada ya kumaliza mazungumzo na Mkurugenzi masoko katika shirika la ZSTC Salum Abdalla hapo ofisini kwake maisara Mjini Zanzibar.
  PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UJUMBE WA KIBIASHARA KUTOKA UHOLANZI WAWASILI ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top