728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 1, 2016

  TAHARUKI YAIBUKA BANDARINI KUFUATIA MOTO MKUBWA KUZUKA.

  Tukio la moto Bandarini leo limepelekea kuibua taharuki kubwa miongoni mwa baadhi ya wafanyakazi waliokuwa eno hilo,kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa kuibuka kwa moto huo ilikuwa ni zoezi la jaribio kwa kikosi cha Zimamoto Bandarini hapo walipokuwa wakifanya mazoezi namna ya kukabiliana na janga la moto linapotokea.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TAHARUKI YAIBUKA BANDARINI KUFUATIA MOTO MKUBWA KUZUKA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top