728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, November 21, 2016

  RC PAUL MAKONDA AKIHUTUBIA WAKAZI WA KEKO MCHANA HUU  Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipozungumza nao, kusikiliza na kutatua kero zao katika eneo la Keko Dar es Salaam leo, akiwa katika ziara ya kikazi wlayani Temeke. Mh.Paul Makonda yuko kwenye ziara ya siku kumi ya kuijenda upya Dar Es Salaam.PICHA NA BASHIR NKOROMO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RC PAUL MAKONDA AKIHUTUBIA WAKAZI WA KEKO MCHANA HUU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top