728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, November 4, 2016

  RC NDIKILO ATEMBELEA HIFADHI YA UZIGUA

  Mkuu wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo akitembelea hifadhi ya msitu wa Uzigua akiwa ameambatana na kamanda wa polisi mkoani Pwani Boniventure Mushongi, mkuu wa wilaya ya Bagamoyo alhaj Majid Mwanga na viongozi wengine kutoka mkoa,wilaya na wakala wa misitu (TFS)kanda ya Mashariki.
    
  Mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza jambo wakati ilipokwenda kutembelea hifadhi ya msitu wa Uzigua na kutoa agizo kwa waliwavamia waondoke Mara moja.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RC NDIKILO ATEMBELEA HIFADHI YA UZIGUA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top