728x90 AdSpace

  • Habari za hivi Punde

    Thursday, November 17, 2016

    RC MRISHO GAMBO AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA JIJI LA ARUSHA NA KUZUNGUMZA NAO

     Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo,akizungumza na wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha, ofisini kwake Jijini Arusha.
     Baadhi ya wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha walioshiriki kikao kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha(hayupo pichani),ofisini kwake Jijini Arusha.
    Wakuu wa Taasisi mbalimbali za Serikali zilizopo Mkoani Arusha walioshiriki kikao cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha na wafanyabiashara wa Mkoani hapa.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: RC MRISHO GAMBO AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA JIJI LA ARUSHA NA KUZUNGUMZA NAO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
    Scroll to Top