728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, November 27, 2016

  RC MAKONDA ATINGA UWANNJA WA FISI,AAMURU BIASHARA YA NGONO IFUNGWE

   Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akiangalia barabara ya Tandale inayounganisha eneo la Mwananyamala ambayo imekuwa haihpitiki kwa uraisi kwa kipindi chote kutokana mashimo ya yaliyokithiri  na kupelekea usumbufu mkubwa kwa waendeshaa magari na kwa miguu pia,leo jijini Dar es Salaam. 
   Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akiteta na Mlemavu ambaye amemkuta katika eneo la uwanja wa fisi akinywa pombe za kienyeji na kumsihi aache kunywa pombe hizo, leo jijini Dar es Salaam. 
   Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akiwa ameongozana na Kamanda   wa kanda maalum ,Simon Sirro kugonga nyumba za baadhi ya akina dada  ambao hufanya biashara ya kujiuza katika eneo la uwanja wa fisi, leo jijini Dar es Salaam. 
   Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akiwa na Kamanda wa kanda maalum ,Simon Sirro wakiangalia bia ambazo zinauzwa uwanja wa fisi zikiwa zimekwisha muda wake,ambazo inaelezwa zimekuwa zikitumika kwa ajili ya matumizi ya Binadamu, leo jijini Dar es Salaam.
   Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akisalimiana na dereva wa daladala katika kituo cha Tandale kwa mtogole,leo jijini Dar es Salaam. 
   Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akiangalia mfereji wa Tandale ambao umeharibiwa kutokana na wananchi ambao wamekuwa wakitupa taka hovyo  katika mfereji huo,leo jijini Dar es Salaam. 
   Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda, akiteta jambo na mmoja wa wakazi wa jiji la eneo la Tandale.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RC MAKONDA ATINGA UWANNJA WA FISI,AAMURU BIASHARA YA NGONO IFUNGWE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top