728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, November 25, 2016

  RC MAKONDA AANZA ZIARA WILAYA MPYA YA UBUNGO LEO.

  Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Manispaa Ubungo leo jijini Dar es Salaam kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Humphrey Polepole. Mhe Makonda yupo katika ziara ya siku 10 jijini Dar es Salaam kwaajili ya kusikiliza kero za wananchi.
  Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Humphrey akimkaribisha Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kuzungumza na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Manispaa Ubungo leo jijini Dar es Salaam
  Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Manispaa Ubungo wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RC MAKONDA AANZA ZIARA WILAYA MPYA YA UBUNGO LEO. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top