728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 29, 2016

  RC MAKALA AWASHIRIKISHA VIONGOZI WA DINI KUKAGUA UJENZI UWANJA WA NDEGE WA SONGWE

   Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala leo amefunga na na viongozi wa dini kukagua ujenzi wa uwanja wa Ndege wa kimataifa was Songwe na kupata maelezo YA uendeshaji wa shughuli ktk uwanja huo
   Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala leo amefunga na na viongozi wa dini kukagua ujenzi wa uwanja wa Ndege wa kimataifa was Songwe na kupata maelezo YA uendeshaji wa shughuli ktk uwanja huo
   Uwanja huo ni mkubwa na una uwezo wa Ndege kubwa kama Airbus kutua na Ndege za mizigo zenye uwezo wa kubeba tani 500 hivyo itasaidia kusafirisha Maua , matunda   Na mbogamboga nje YA nchi moja kwa moja kutokea uwanja wa Ndege Songwe
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RC MAKALA AWASHIRIKISHA VIONGOZI WA DINI KUKAGUA UJENZI UWANJA WA NDEGE WA SONGWE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top