728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, November 27, 2016

  RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWEETE AWAUNGA MKONO VIJANA WAKULIMA WA VITUNGUU RUAHA MKUU MKOANI IRINGA

  Rais Mstaafu awamu ya nne,Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa njiani kurejea kijijini kwake Msoga, alisimama Ruaha Mkuu mkoani Iringa na kununua vitunguu na kuwaungisha vijana hao wanaojishughulisha na kilimo cha vitunguu.
  Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na vijana wajasiliamali hao ambao ni maarufu kwa ulimaji na uuzaji wa vitunguu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWEETE AWAUNGA MKONO VIJANA WAKULIMA WA VITUNGUU RUAHA MKUU MKOANI IRINGA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top