728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 23, 2016

  Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Kikwete akutana na Crown Prince wa Abudhabi Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, Abudhabi

   Mheshimiwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Crown Prince wa Abudhabi na Naibu Kamanda Mkuu wa Majeshi ya UAE  Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan katika makazi yake jijini Abudhabi
  Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na Mjumbe Maalum wa AU kwa Libya katika mazungumzo na Crown Prince wa Abudhabi Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan.Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi  H.H.Reem Al Hashimy
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Kikwete akutana na Crown Prince wa Abudhabi Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, Abudhabi Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top