728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 22, 2016

  RAIS MPYA WA TCCIA AKUTANA NA MWENYEKITI WA CEO ROUND TABLE

   Ndibalema Mayanja akukutana na Mwenyekiti wa CEO Round Table Ali Mfuruki  ili kukuza mahusiano ya Taasisi hizi nyeti kwa maendeleo ya Biashara, Viwanda na Kilimo. Katika mkutano huo Rais Mayanja aliongozana na Makamu wa Rais wa TCCIA Viwanda Octavian Mshiu, Mkurugenzi Muganda na Mshauri wa TCCIA Imani Kajula.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS MPYA WA TCCIA AKUTANA NA MWENYEKITI WA CEO ROUND TABLE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top