728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, November 3, 2016

  RAIS DKT.MAGUFULI AKUTANA NA MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA KWA NCHI ZA TANZANIA, BURUNDI, MALAWI NA SOMALIA BI. BELLA BIRD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na Mwakilishi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es Salaam 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiagana na Mwakilishi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Bi. Bella Bird mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT.MAGUFULI AKUTANA NA MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA KWA NCHI ZA TANZANIA, BURUNDI, MALAWI NA SOMALIA BI. BELLA BIRD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top