728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, November 24, 2016

  RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAHAFALI YA 31 YA CHUO KIKUU HURIA KIBAHA LEO.


   Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati wakielekea kwenye Viwanja vya Chuo hicho, Bungo Kibaha Mkoani Pwani, katika Mahafali ya 31 ya Chuo hicho. 
   
  Sehemu ya Wahitimu wa Kozi mbalimbali wa Chuo Kikuu Huria wakiwa katika Mahafali hayo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAHAFALI YA 31 YA CHUO KIKUU HURIA KIBAHA LEO. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top