728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 8, 2016

  RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA TANAPA JENERALI GEORGE WAITARA NA MKUU WA JKT BRIGEDIA JENERALI MICHAEL ISAMUHYO

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANAPA 
  ambaye pia Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 8, 2016.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Brigedia Jenerali Michael Isamuhyo alipokutana naye kwa mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 8, 2016.Picha na IKULU
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA TANAPA JENERALI GEORGE WAITARA NA MKUU WA JKT BRIGEDIA JENERALI MICHAEL ISAMUHYO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top