728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 23, 2016

  RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA PALESTINA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Palestina katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Hazem Shabat alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi wa Palestina katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Hazem Shabat alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi wa Palestina katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Hazem Shabat alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.]23/11/2016.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA PALESTINA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top