728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 16, 2016

  Onyesho La sanaa za Ufundi lafana Sweden

  Ni onyesho la sanaa za ufundi nchini Sweden lililoandaliwa na msanii kutoka Tanzania Kennedy Mmbando. Lengo la onyesho hilo ni kutangaza uzuri wa mazingira aa Tanzania pamoja na umuhimu wa kumlinda myama Tembo. Onyesho linaendelea mpaka December 14.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Onyesho La sanaa za Ufundi lafana Sweden Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top