728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, November 3, 2016

  NYUKI WAZUA KIZAA ZAA KATIKA MCHEZO WA RUVU SHOOTING NA AFRICAN LYON

   Wachezaji wa timu za Ruvu Shooting wenye jezi rangi ya bluu na wa African Lyon wakiwa wamelala chini ikiwa ni kujihami na makundi ya nyuki ambayo yalikuwa yanapita uwanjani hapo hivyo wachezaji, waamuzi na mabenchi ya wachezaji wa akiba wote walilazimika kulala chini ikiwa ni kujinusuru kutokana na hali hiyo. Katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Shooting iliibuka na ushndi wa bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji mwenye nguvu za miguu Issa Kanduru kunako dakika ya 19.
   'Ni kama wanasema 'Nyuki hao bado wapo tuendelee kujificha chini ya viti"

   Watu wazima chini ya viti 'Chezea nyuki wewe'
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NYUKI WAZUA KIZAA ZAA KATIKA MCHEZO WA RUVU SHOOTING NA AFRICAN LYON Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top