728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 22, 2016

  NAPE AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI MKUU WA MKOA WA TANGA.  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shigela aliyelazwa katika wodi ya Sewahaji Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Kwa taarifa zilizopo hali ya Mhe. Shigela Anaendelea vizuri.Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NAPE AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI MKUU WA MKOA WA TANGA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top