728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, November 27, 2016

  NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU KAZI VIJANA NA AJIRA MHE. ANTONY MAVUNDE AZINDUA TAMASHA LA AMANI JOGGING JIJINI DAR ES SALAAM LEO


  Mhe:Naibu Waziri Antony Mavunde Mapema ya leo akiongoza Jogging ya KM 8 Iliyo anzia Mlimani City na Kuishia katika Viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam leo
  Vijana wa Club ya Jogging Temeke Wakiimba Nyimbo za Hamasa
  Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi Vya Jogging Club Dar es salaam Charles P Malim Akisoma Risala Kwa Mgeni Rasmi
  Naibu Waziri Ofisi Ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira Mhe:Antony Mavunde akihutubia katika Tamasha Hilo la Amani Jogging Katika Viwanja Vya Leaders Club.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU KAZI VIJANA NA AJIRA MHE. ANTONY MAVUNDE AZINDUA TAMASHA LA AMANI JOGGING JIJINI DAR ES SALAAM LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top