728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, November 24, 2016

  MWENYEKITI WA SEREKALI YA MTAA WA GONGOLAMBOTO AWEKWA CHINI YA ULINZI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI NYARAKA ZA SERIKALI.

  Mwenyekiti Wa Serikali Ya Mtaa Wa Gongolamboto, Bakari Shingo akiwa chini ya ulinzi baada ya kuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akamatwe kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ya kughushi nyaraka za serikali. 

  Malalamiko kuhusiana na kutosoma taarifa ya mapato na matumizi na kukusanya mapato kutoka kwa wananchi kinyume ana taratibu za makusanyo ya fedha za umma.

  RC Makonda anaendelea na ziaraa yake ya siku 10 katika jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza kero za wanachi ambapo leo amefanya ziara katika Wilaya ya  Ilala.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
   Mwenyekiti Wa Serekali Ya Mtaa Wa Gongolamboto, Bakari Shingo alipokuwa akitoa hotuba fupi kabla ya kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi
    Mwenyekiti Wa Serekali Ya Mtaa Wa Gongolamboto, Bakari Shingo akiwa  chini ya ulinzi wa Polisi.
     Mwenyekiti Wa Serekali Ya Mtaa Wa Gongolamboto, Bakari Shingo akiwa  chini ya ulinzi wa Polisi akipakizwa kwenye gari kwa hatua zaidi za kisheria

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MWENYEKITI WA SEREKALI YA MTAA WA GONGOLAMBOTO AWEKWA CHINI YA ULINZI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI NYARAKA ZA SERIKALI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top