728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, November 25, 2016

  MTANZANIA VICTORIA MWANZIVA ASHIRIKI KOZI MAALUM YA WANAWAKE KWA AJILI YA KUDUMISHA AMANI BARANI AFRIKA, ADDIS ABABA ETHIOPIA.

  Bi. Victoria Mwanziva (kulia) akitoa mchango wake katika kozi maalum kwa wanawake  kwa ajili ya kudumisha Amani Barani Afrika.
  Baadhi ya washiriki kutoka Nchi mbalimbali Barani Afrika wakiwa na Profesa Juan Sainz Borgo (wa tano kutoka kulia) aliyetoa somo juu ya amani na ambaye ni mmoja wa viongozi wa chuo cha Amani Umoja wa Mataifa
  Baadhi ya washiriki wa Mafunzo hayo maalum wakiwa katika picha ya pamoja.
  Bi. Victoria Mwanziva alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Nchini Ethiopia 
   Bi. Victoria Mwanziva alipotembelea Makao Makuu ya Umoja wa Afrika walipofanya ziara ya mafunzo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MTANZANIA VICTORIA MWANZIVA ASHIRIKI KOZI MAALUM YA WANAWAKE KWA AJILI YA KUDUMISHA AMANI BARANI AFRIKA, ADDIS ABABA ETHIOPIA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top