728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, November 17, 2016

  MIKOA 24 YATHIBITISHA USHIRIKI WA LIGI YA TAIFA CUP YA MPIRA WA KIKAPU

  Hadi sasa Mikoa iliyo thibithisha kushiriki shindano la  Taifa Cup mpira wa kikapu katika jiji la  Arusha kuanzia tarehe 1-10 December 2016. 

  1. Arusha timu 3
  2. Manyara timu 1
  3. Tanga timu 2
  4. Kilimanjaro timu 1
  5. Singida timu 1
  6. Dodoma timu 2
  7. Shinyanga Timu2
  8. Mwanza timu 2
  9. Mara timu 1
  10. Kigoma timu1
  11. Katavi timu 1
  12. Rukwa timu 1
  13. Iringa timu 2
  14. Mbeya timu 2
  15. Lindi timu 2
  16. Mtwara timu 1
  17. Pwani timu 2
  18. Dae es salaamm timu 2
  19. Unguja timu 2
  20. Pemba timu 1
  21. Morogoro timu 2
  22.Kagera timu 1
  23.Tabora timu 1
  24.Geita  timu 1
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MIKOA 24 YATHIBITISHA USHIRIKI WA LIGI YA TAIFA CUP YA MPIRA WA KIKAPU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top