728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 9, 2016

  MHE SPIKA AKUTANA NAA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA OFISINI MJINI DODOMA

   Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Wakwanza kulia ni Bw. Blevin Claude Afisa wa Ubalozi huo.
   Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak wakati akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
   Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akimueleza jambo Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akiagana  na Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak mara baada ya kuzugumza naye  Ofisini kwake Mjini Dodoma.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MHE SPIKA AKUTANA NAA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UFARANSA OFISINI MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top