728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, November 28, 2016

  MHE. KAIRUKI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI TANZANIA

   Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi. Malika BARAK akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) kuhusu Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (OGP) alipomtembelea Waziri huyo leo.
   Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipitia nyaraka zilizowasilishwa na  Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi. Malika BARAK alipotembelewa na balozi huyo ofisini kwake leo.
  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza jambo kwa Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi. Malika BARAK (kulia) mara baada ya kupokea nyaraka kutoka kwa balozi huyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MHE. KAIRUKI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top