728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 8, 2016

  MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHUDHURIA MSIBA WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa pole mke wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar, Marehemu Ferouz Bi. Shara Ferouz nyumbani kwake Mtaa wa Mbweni Zanzibar.
   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amejumuika kwenye  na ndugu na jamaa msibani kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar, Marehemu Salehe Ramadhan Ferouz  nyumbani kwake Mtaa wa Mbweni Zanzibar.
   Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar, Marehemu Salehe Ramadhan Ferouz likitolewa nyumbani kwake Mtaa wa Mbweni Zanzibar tayari kwenda kuswaliwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHUDHURIA MSIBA WA NAIBU KATIBU MKUU MSTAAFU WA CCM ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top