728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 8, 2016

  MAJALIWA ASALIMIANA NA WALEMAVU BUNGENI

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watu Wenye Ulemavu kutoka Dar es salaam kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba  8, 2016. Watu hao Wenye Ulemavu ni miongoni mwa wengi waliotembelea bunge.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  wale2
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAJALIWA ASALIMIANA NA WALEMAVU BUNGENI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top