728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, November 21, 2016

  MAHAFALI YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI (AJTC) YAFANA

   Meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazaro akizungumza katika Mahafali ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji  Arusha (AJTC) ,Kulia ni Mkurugenzi wa Mafunzo katika Chuo hicho Joseph Mayagila, kushoto ni Diwani wa kata ya Themi, Melans Kinabo. 
  Wahitimu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji  Arusha (AJTC) wakirusha kofia juu ishara ya kuonyesha kutunukiwa vyeti vya Shahada na Stashahada. Picha na Mahmoud Ahmad, Arusha
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAHAFALI YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI (AJTC) YAFANA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top