728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, November 19, 2016

  MADAKTARI KUTOKA MUNADHAMAT ALDAAWA AL-ISLAMIA WAMUAGA WAZIRI WA AFYA BAADA YA KUMALIZA KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU KISIWANI PEMBA.

  Mratibu wa WAMY  Dkt. Ibrahim Algamaan  akiwa na madaktari wenzake akimkabidhi zawadi Waziri wa  Afya Mahmoud Thabit Kombo kama ukumbusho wao kwake walipokwenda kuonana nae ofisini kwake Mnazimmoja. Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar
   Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitoa shukrani kwa  madaktari bingwa walioletwa na Jumuiya ya Kiislamu  ya Munadhammat Aldaawa  kwa kushirikiana na Ubalizi wa Tanzania nchini Saudi Arabia chini ya ufadhili wa Umoja wa Vijana wa Kiislamu duniani (WAMY) baada ya kumaliza kutoa huduma za matibabu kwa muda wa siku 10 kisiwani Pemba.
   Mkurugenzi wa Munadhamat Aldawa Al islamia Tanzania  Dkt. Khalid Al-Awadh akimueleza Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo huduma walizotoa  kisiwani Pemba kwa muda wa siku 10, (katikati) Mratibu wa WAMY nchini  Saudiarabia Dkt. Ibrahim Algamaan.
    Baadhi ya madaktari waliokuwa wakitoa huduma za afya Kisiwani Pemba kutoka Jumuiya ya Munadhamat wakiwa katika mkutano na Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo (hayup pichani) Ofisini kwake Mnazimmoja.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MADAKTARI KUTOKA MUNADHAMAT ALDAAWA AL-ISLAMIA WAMUAGA WAZIRI WA AFYA BAADA YA KUMALIZA KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU KISIWANI PEMBA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top