728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 23, 2016

  Madaktari Bingwa wa Moyo kutoka Taasisi ya Jakaya Kikwete (JKCI) na taasisi ya Open Heart International OHI waendelea na upasuaji wa moyo

  Madaktari Bingwa wa Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Madaktari wenzao wa Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya Nchini Australia wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa moyo kwa njia ya kufungua kifua na kuziba tundu la moyo. Kulia ni Dkt. Bingwa wa Upasuaji Hussein Hassan akifuatiwa na madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto Dk. Godwin Godfrey (kushoto) na Dkt. Benjamin Bierbach.
  Madaktari bingwa wa moyo pamoja na wauguzi kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa kushirikiana na Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya Nchini Australia wakiendelea na kazi ya kumfanyia mgonjwa upasuaji wa moyo kwa njia ya kufungua kifua na kuziba tundu lililopo kwenye moyo. Taasisi hizo hivi sasa ziko katika kambi maalum ya siku sita ya upasuaji kwa wagonjwa wa moyo, katika kambi hiyo wagonjwa 20 wanarajiwa kupata matibabu.

  Picha na Anna Nkinda – JKCI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Madaktari Bingwa wa Moyo kutoka Taasisi ya Jakaya Kikwete (JKCI) na taasisi ya Open Heart International OHI waendelea na upasuaji wa moyo Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top