728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, November 25, 2016

  LAPF YATOA MSAADA BUIGIRI,MKOANI DODOMA

  Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakabidhi vifaa vya umwagiliaji maji kwa kikundi cha watu wenye Ulemavu cha Buigiri, Dodoma. Pichani ni Afisa Masoko Mwandamizi wa LAPF Rehema Mkamba akikabidhi baadhi ya vifaa hivyo kwa viongozi wa kikundi hicho. Vifaa hivyo vitawasaidia kuendesha shughuli za kilimo cha mboga mboga cha umwagiliaji ili kujipatia kipato.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: LAPF YATOA MSAADA BUIGIRI,MKOANI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top