728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 30, 2016

  KUWAIT WASAIDIA MUHIMBILI MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI.

    By Antony John blog Jamii.
  Balozi wa Kuwait Jasem Al-Najem ametoa msaada wa vifaa mbambali katika hospitali ya Taifa Muhimbili.

  Msaa huo umehusisha  mashine tano za kupimia presha,dawa za kutibu magonjwa mbali mbali.

  Akizungumza katika makabidhiano  wa  vifaa hivyo Balozi huyo  ameahidi kutoa misaada mbalimbali katika hospitali ya Muhimbili ikiwemo msaada wa vifaa kwaajili ya  upasuaji wa moyo, kutoa vifaa vitakavyo saidia kuhifadhi damu.

  Kwa upande wa mwakilishi kutoka wizara profesa Ayubu Magimba amesema wamekubaliana na Balozi wa Kuwait kuweka kituo cha kuhifadhi damu katika taasi ya Jakaya kikwete ilikupunguza tatizo la damu.
  " watatuwezesha Jakaya kikwete tuwe na kituo cha kuhifadhi damu na watatuwezesha kufanya kampeni ya uchangiaji damu nchini ambayo itafanyika kabla ya mwezi ujao.hayo amesema Magimba.
  Balozi wa kuwait akikabidhi vifaa vya matibabu  katika tasisi ya tiba mifupa na mishipa ya fahamu (MOI)
   Balozi wa kuwait akikabidhi vifaa vya matibabu  katika tasisi ya Tasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete
  Balozi wa kuwait akikabidhi vifaa vya matibabu  katika tasisi ya Tasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KUWAIT WASAIDIA MUHIMBILI MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top