728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, November 11, 2016

  KUNDI LA MUZIKI LA "WAPANCRAS" KUTOKA KANDA YA ZIWA LAELEZA MAFANIKIO YA WIMBO WA "NITUNZIE SIRI".  Wapancras ni kundi la Muziki kutoka Kanda ya Ziwa linaloundwa na wasanii Mecrass na Payus. Ni kundi linalofanya vizuri na nyimbo kadhaa ikiwemo Chausiku pamoja na Nitunzie Siri ambayo wamefanya na msanii Abuu Mkali.

  Wamezungumza na BMG Habari na kuelezea furaha yao kwa hatua kubwa waliyofikia kwenye muziki na kuwapongeza mashabiki zao.
  TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KUNDI LA MUZIKI LA "WAPANCRAS" KUTOKA KANDA YA ZIWA LAELEZA MAFANIKIO YA WIMBO WA "NITUNZIE SIRI". Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top