728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, November 17, 2016

  KUMBUKUMBU YA MHE. JACKSON MVANGILA MAKWETTA

  Ni miaka minne toka tumpoteze baba yetu mpendwa Mhe. Jackson Mvangilwa Makwetta, Leo tunakukumbuka ukiwa Baba kwa kutufundisha mengi yaliyo Mema Duniani.

  Pia ulikuwa ni kiongozi wa muda mrefu katika nchi yetu na ulie
  pendwa na wengi kutokana na Uwazi, Ukweli,Uwajibikaji, hekima juhudi katika kazi ukiwa katika wizara tofauti ulizohudumu ikiwamo Elimu, kilimo,Nishati na Madini,Mawasiliano,Ulinzi na Utumishi.
  Watoto wako na watanzania bado tunadhamini mchango wako na tutakukumbuka daima.
  Upumzike kwa Amani
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KUMBUKUMBU YA MHE. JACKSON MVANGILA MAKWETTA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top