728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, November 8, 2016

  Kituo cha Utamaduni cha China chazindua maonyesho ya Utamaduni wa nchi hiyo.

   Mkuu wa kituo cha Utamaduni wa China hapa nchini Bw.Gao Wei akiwaonesha waandishi wa habari  (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam baadhi ya maonyesho yatakayoneshwa kuanzia tarehe 12 hadi 24 Novemba mwaka huu katika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam.
  : Mkuu wa kituo cha Utamaduni wa China hapa nchini Bw.Gao Wei akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam kuhusu maonyesho ya Utamaduni wa nchi hiyo yatakayofanyika kuanzia tarehe 12 hadi 24 Novemba mwaka huu katika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam.Na Shamimu Nyaki.
   : Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkuu wa kituo cha Utamaduni wa China hapa nchini Bw.Gao Wei (Hayupo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akitoa maelezo kuhusu maonyesho ya Utamaduni wa  nchi hiyo yatakayofanyika kuanzia tarehe 12 hadi 24 Novemba mwaka huu katika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Kituo cha Utamaduni cha China chazindua maonyesho ya Utamaduni wa nchi hiyo. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top