728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, November 18, 2016

  KIKAO CHA USHIRIKIANO NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI BAINA YA WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO

  Wakili Nyinula Watson Mwakyusa kushoto toka TAWLA na Msajili wa NGOs kutoka Wizara ya Afya, Mendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakiendesha kikao cha ushirikiano baina ya NGOs na Wizara hiyo.
  Wadau mbalimbali kutoka Mashirika yasiyo ya Kiserikali wakipitia nyaraka mbalimbali wakati wa Mkutano wa Ushirikiano baina ya Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto na Mashirika yasiyo ya kiserikali leo jijini Dar es Salaam.
  Baadhi ya Washiriki kutoka moja ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali wakifuatilia jambo kwa makini wakati wa Mkutano wa Ushirikiano baina ya Wizara ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto na Mashirika yasiyo ya kiserikali leo jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KIKAO CHA USHIRIKIANO NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI BAINA YA WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top